TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
sasa tuvitoe vipi?
Piga mazoezi tu
sasa tuvitoe vipi?
mambo iko huku
![]()
ila kitambi kina mvuto wake jamanipiga mazoezi tu
yaani hao ndo usiseme ... Hivi huwa wanafanyejezunguzia vitambi kwa wanaume pia.
yaani hao ndo usiseme ... Hivi huwa wanafanyeje
ahaaaa hebu cheki avatar yangu hapo nipe maksi[/QUOT
nakufahamu haha safi sana! naona cku hiz umetutolea ile avatar yako ulopiga hips zako. nazipendaga zile ujue?
Kitambi siyo pesa.Si nasikia mnapenda wenyewe vitambi?
MMH U KNOW ME? NINA KITAMBI AU SINA? nimeweka nyingineahaaaa hebu cheki avatar yangu hapo nipe maksi[/QUOT
nakufahamu haha safi sana! naona cku hiz umetutolea ile avatar yako ulopiga hips zako. nazipendaga zile ujue?
Kitambi siyo pesa.
tunapenda wangapi? mimi msipendi wala sijawai ... napenda mwenye afya ila sio kitambi...sipendi vyembamba pia...mwanaume lazima awe na mwili nienee huko sio nalalia chaga mieSi nasikia mnapenda wenyewe vitambi?
Hata mimi zamani niliamini mtu mwenye uwalaza ni msomi sana na iko pesa mingi na nikiona mwenye mvi kama Lowasa najuwa hapo hekima zimejaa kumbe wapi.Ni ishara ya pesa?
Zunguzia vitambi kwa wanaume pia. Mpaka siku hizi watu wanasalimiana kwa vitambi: https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/390197-picha-aina-ya-salamu-mpya-tanzania.html
![]()
MMH U KNOW ME? NINA KITAMBI AU SINA? nimeweka nyingine
upo normal tu, sio kitambi saaanah! alafu hips zimeongezeka hiv karbun cunajua?
mmh si kweli hunijui hata mi sina hips ila nina kitambiupo normal tu, sio kitambi saaanah! alafu hips zimeongezeka hiv karbun cunajua?
mmh si kweli hunijui hata mi sina hips ila nina kitambi
me ctaki ubishi bana we unajijua zaidi, pengine me nakufananisha!
WEWE NI NANI KWANI?me ctaki ubishi bana we unajijua zaidi, pengine me nakufananisha!
WEWE NI NANI KWANI?
ha ha, mimi snail, na ww mwenzangu unaitwa nan?