vitumbo kwa wanawake

vitumbo kwa wanawake

vitambi vya wanaume navyo vinasababishwa na nini! au supu kama Matola anavyosema?

601844_586793278007268_92213848_n.jpg

Huyu nae akigeuka ana kitambi sasa angalia nyuma alivyo pigwa pasi
 
aisee vina wapendeza sana. kwangu havina athari
 
Hili jambo ni janga la Taifa, tatizo Dada zetu nao siku hizi mpaka supu ya kongoro nao wamo, supu ya ulimi nao wamo supu ya mkia nao wamo supu ya kichwa nao wamo. mwe!!

kongoro na anajaliza na bia ya senator
 
sasa hivi sijipunguzi tena kama mtu hataki aache!

aiseee kumbeeeeeeeeee alitaka ndio maana, me nilidhani vingine vinafanyika kwa afya kumbe kwa amri za mapenzi
 
Mkuu umesahau siku hizi hata supu ya pweza tuko pamoja yaani full kutoka makitambi,halafu eti wanalalamika siku hizi hatuwaoi,ntaoa mwanamke kitambi hichoo haijulikani mwanaume nani mwanamke nani maana wote mna kitambi.
 
Hahaha. Yaani masimango yangekuwa yanaondoa vitambi mbona vingetoweka kwa jina la mapenzi!
Ngoja nikale kitimoto mie mweeh.
Nna kiu ya safari laga koo limefunguka kama turbo charger⊙

bila shaka nawew una kitambi
 
matambi yanapunguza hamu ya mchezo na mwenzio...
 
Back
Top Bottom