vitumbo kwa wanawake

vitumbo kwa wanawake

matumbo yao ni gere hayaruhusu chakula kikatanue sehemu nyingine..lol!

Kwa uchunguzi wangu naamini kuwa ofa zinachangia sana vitambi kwa wadada na ndo maana ukimwita mmoja wanakuja wawili na kuendelea huu ni uroho na ulafi, madhara yake vitambi.
 
Hili jambo ni janga la Taifa, tatizo Dada zetu nao siku hizi mpaka supu ya kongoro nao wamo, supu ya ulimi nao wamo supu ya mkia nao wamo supu ya kichwa nao wamo. mwe!!

Hata kwenye supu ya pweza pia wamo!
 
si unaniona full kunenepeana eti nijipunguze tena
946592_310200172446661_444444811_n.jpg

Imekaa vizuri dadangu!
 
Wenye viFLat screen tumbo ndo wanaongoza kwa kula.

Mh. Itanichukua uda kuamini, kwa sababu hao wenye flat screen ndio wanaokula vyakula kwenye visosa. Nyie akina vitambi ndio tunaopigana vikumbo kwenye supu za kongolo na ulimi.
 
Mh. Itanichukua uda kuamini, kwa sababu hao wenye flat screen ndio wanaokula vyakula kwenye visosa. Nyie akina vitambi ndio tunaopigana vikumbo kwenye supu za kongolo na ulimi.

Teh teh huo ndo ukwel ss.....,hawali sana wenye vitambi.Alafu wengine ni masindano ya majira hayo.
 
unakuta msichana mzuri kaumbika kiafrika na anavutia ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka linaning'ing' inia yanii
wengine hata wajazaa bado sasa walikwisha kuwa wazaxi wanajiachia sana ndio tunapenda bantu figure ila liwe natural sio la kupikwa kwan linanenepesha kila kitu....na sku hizi na body suit zao zunaaacha vitambiiii bwereeeeee
Inaonekana wamekukera sana eeeeee.
 
mmmh hapo kwenye sindano hapo yaweza kuwa nikweli coz kuna wengine zinawaumua na wengine zinawakondesha

Weeeee.....alafu vitambi vyao vinakuwa balaa kama yule designer wa kihind hapa bongo ila kimeisha ss hv cjui alienda India.
 
Hahaha. Yaani masimango yangekuwa yanaondoa vitambi mbona vingetoweka kwa jina la mapenzi!
Ngoja nikale kitimoto mie mweeh.
Nna kiu ya safari laga koo limefunguka kama turbo charger⊙
aahahhahhahhahhahhaah nilitaka kushangaa nisione UMENIWAKILISHA!ngekuNUNIAJE SASA!
 
Sababu moja wapo ya vitumbo kuongezeka ni skin tight. Mwili wa mwanamke umeumbwa na sehemu za kutunza excess fat. sehemu hizo ni pamoja na ------ na mapaja. kwa wale ambao wanabana ------ pamoja na mapaja kwa skin tight na wakati huo huo kula ovyo mafuta yanahifadhiwa tumboni. kuyahamisha ni shughuli, ila kuzuia yasiendelee kujaa ni kuyapa nafasi kwenye ------ na mapaja. Avoid nguo ya kubana sana.
 
side effects of family planing pills/methods na ulaji hovyo hovyo wa vyakula bila kuwa na ratiba maalum
 
Mbona iko vizuri tu, au unataka uwe skinny. That is the right figure for a woman bwana. Ujue pelvic bones za vimbaombao zinawaumiza wanaume, muulize mzabzab.

alikudanganya nani...mitumbo ata dushelele kusimama halisimami
 
Hili jambo ni janga la Taifa, tatizo Dada zetu nao siku hizi mpaka supu ya kongoro nao wamo, supu ya ulimi nao wamo supu ya mkia nao wamo supu ya kichwa nao wamo. mwe!!

kumbe supu ndio imasababisha tumbo heee nilikuwa sijui, hii ni kidaktari au kiushabiki?
 
Back
Top Bottom