Mwanaume wa dar on fleekTutafute ela,
Kama ilivyo ada wanajopo tupeane laini laini za ndugu zetu hawa"high price life"watoto wakishua..
Kiukweli ukitaka usiwe na stress jaribu kukaa nao hawa, wana-exposure sana anaweza kupa hela akasema "keep change" hawa wakishua wakike, hata prof jay ashaambia"keep change, unamawazo mengi, itakufariji wikend "hizo ndo depo zao...Mambo ya kuhongana hawajui
Tukija kwenye ngeli hapa ndo intaneshno skuli au havard, wanajua ile lugha, wanamwaga yai wanatema matusi hataree ka kwenye movie..
Ngeli kwao si janga ka huku kwetu yes no watu wanakutolea mimacho, wao wanamwaga tena kwa kasi ukitoa macho hayupo hawamjui Ras simba
Raga sana, hata movie zao ni classic na wakianza kusimuliana we was acheche inabidi usepe utapata shida hebu imagine movie imetoka jana saa6usiku wao wanayo...au yametoka matrail wanayo...
Misosi sasa hapo ndo utafurah na roho yako, akinunua kiepe au kuku anagusa gusa maji kidogo hawazi, mi nikienda na mwantum viepe vinatujua...wale sio ka wanaume wa mikoani kula kilo2 za ugali mtu mmoja..ndo maana uchumi unashuka.
Basi bana ndo vurugu zao hapo ujasikiliza nyimbo zao hahaa unawezahisi wanataka kulala, unakuta wanaskiliza msanii wa Finland au Slovakia sijui Slovenia mi na ww hatuwajui kibaya zaidi unakuta anatumia mp4 ya ka m1 iv na hawazi...
Wao kulia sio mpaka msiba, wao kulia hata akijiskia analia ila analia kishua sio ka kaweka vuvuzela..
Upande wa nguo ka sio mvumilivu unaweza anza kulia kimoyo moyo maana sio kwa vinguo vyao AF brand ka gucci. Lv.d&g aisee kibegi simple laki7 mwanangu wa geto analipa semester pale chuo..
HAAA WAKISHUA RAHAAAA jazieni jazieni maana dah
Majukumu ya mwanamke kwa mwanaume si kupika wala kuosha vyombo.Tulianza vuzuri sana nimemrekebisha mambo mengi ila kwenye swala la jikoni hakutaka kabisa. Siku nyingine anasemwa na marafiki zake lakini wapi. Mwisho wa siku mi nikajiona kama mpitaji tu. Sikua na la ziada.
Kwan mke wako huyo mkuu we si ungevumilia tu mikuku hiyo au kujifanya mgumu??Hao madogo ni wapuuzi sana. Kuna mmoja alikua demu wangu ila hajui kupika. So akija geto analala na movie na instagram. Hata vyombo haoshi mikucha mirefu mpaka kulee..
Sasa kuna siku katoa boko. Nimetoka class nikafika geto nikamkuta kalala mi nikabadilisha nguo nikaenda uwanjani kipiga tizi. Kumbe kajishtukia akasema eti ajaribu kupika wali,, mamamaaaaa yan wali umetoka bokoboko, chini umeungua, hayo mafuta na chumvi ni hatari. Hatukufika mbali nikashindwa.
Sema sekta nyingine alikua good. Anaweza kuja na kuku mzima nawaita washikaji tunapiga. Au kwenye ulabu. Wanajua kutoa pesa.
Hebu endelea kufunguka mkuu..Majukumu ya mwanamke kwa mwanaume si kupika wala kuosha vyombo.
Hahaa.. Mkuu washikaji walinilaumu kinoma sema nilikua sina budi kuachana nae. Ki ukweli yapo mengi nikianza kuelezea kuna watu itakua rahisi kunifahamu au kumfahamu yeye. Hasa niliosoma nao those daysKwan mke wako huyo mkuu we si ungevumilia tu mikuku hiyo au kujifanya mgumu??
Hahaa... hapo hata mimi ningemtema!Hatununui mkuu. Mi nilikua napika. So mazagazaga yote yalikuwepo ndani nshachukua
Ila swala la kupika ni janga hata wa huku kwetu tatizo labda wapike mapishi mapya ya mendeHao madogo ni wapuuzi sana. Kuna mmoja alikua demu wangu ila hajui kupika. So akija geto analala na movie na instagram. Hata vyombo haoshi mikucha mirefu mpaka kulee..
Sasa kuna siku katoa boko. Nimetoka class nikafika geto nikamkuta kalala mi nikabadilisha nguo nikaenda uwanjani kipiga tizi. Kumbe kajishtukia akasema eti ajaribu kupika wali,, mamamaaaaa yan wali umetoka bokoboko, chini umeungua, hayo mafuta na chumvi ni hatari. Hatukufika mbali nikashindwa.
Sema sekta nyingine alikua good. Anaweza kuja na kuku mzima nawaita washikaji tunapiga. Au kwenye ulabu. Wanajua kutoa pesa.
Kiislam.hayo ni majukumu ya mwanaume.kujua mkewe atakula nini..nani atafanya usafi.ila tu wanawake majukumu yao ni kuzaa na kulea familia tu.wewe ndo mwenye jukumu la kumpikia.Hebu endelea kufunguka mkuu..
Kwa heshima tu nimekudharau...jiulize kwanini?!! Mana hata bando hujachangia ka mtafutaji usingeingia chitchat saa2 ungeingia jukwaa la uvuvi ufugaji au kule kwa wajasiliamali..ndo hiviii...hivi sasa ni saa mbili kamili,
..kwa saa za Afrika Mashariki!
Haaa kwani wana mabango mkuu?sijawahi kutana na wa kishua,,,,,,,,,,,,!!
Nasisi tulio huku kijijini tutawapataje mkuu...maana naona hizo mandhari ni za mijini ......Haaa kwani wana mabango mkuu?
Kwa haraka ni lazima uswitch ubadiri viwanja kiufupi uwe misheni town soi kila siku lia lia..sometym unabadirika ata fegi ka uvuti siku iyo unawasha,unaingia kiwanja chochote wapo ka makopo ya plastik yan wamejaa..
Kinachofata ni mpangilio wa stories tu sio mambo ya sisiem mara bashite..unakuta mtu wa mipango ka unamiliki kampuni
Af maeneo ka ayo unaweza chomoka na madili kibao...haaaaahhh
Wewe huko pambana na watoto wa Mtendaji wa Kijiji au Mwenyekiti wa Kijiji, pia wapo watoto kutoka familia zile zinazo ogopwa kwa Uchawi.Nasisi tulio huku kijijini tutawapataje mkuu...maana naona hizo mandhari ni za mijini ......