Mshana Jr kweli we mchawi, yaani mpaka Simba anakuchekea hivi, mlikuwa mnapiga story gani hapa?
Mwizi wa barua za watu huyu, yaani hana habari kabisa, anasoma mpaka na majina ya wahusika.
Za mwizi 39, 40 anakamatwa kama huyu hapa.
'Mamake, dogo anapiga selfie na chakula chake?