Ahahahah group hili la kukutana Mk kila jumapili ila wanaume wengi nimewasahau jaman sijui ndio uzee nilionao7A tulikuwa class moja mkuu yaan wewe na SHUNIE tunafahamiana vizuri tu coz shunie na AMINA RAMDHANI (R.I.P) na H KISTU Walikuwa wanasoma darasa moja na DADAANGU ila hizi ID tu jamani tunatukanana kumbe ni wamoja
ticha mbogolo maarifa jamii alikuwa haandiki ubaoni anatusomea tu yaan
MSIMBE mpk leo yupo vilevile na wembamba wake ALIOA mwakajuzi kma sikosei tulikuwa wote na group ya MWANANYAMLA B P school nilikuwa napata taarifa nyingi za watu hasa MKUMBA alikuwa anapenda sana umoja km zamani HADIJA KISTU tulikuwa nae kwenye group pia pamoja na CHINGWI esta KIMARO na hao wote ulowataja na niliowataja
Shafii na group lake wanajifanya maustadh kumbe watu wafoooShafii mazoezi kaacha askari walivamia gym wakaondoka na vifaa vyote.
Ila kama haujahama huku updates zao utakua nazo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bila kumsahau mtuma salamu maarufu na mshiriki wa kipindi cha chemsha bongo...Mohamed Kiyaiyai..mzee wa niambrieeeee...kutoka KomaKoma .
Huyu alikuwa anazinguana sana na Misanya Bingi...yaani akipiga simu anaanza kutaja washikaji walioko pembeni yake kama kumi hivi halafu ndio aanze kuwatumia salamu watu watatu...yaani ndani ya sekunde 60 anakuwa keshatuma salamu kwa watu zaidi ya 15 hivi....Misanya Bingi alimshtukia akawa anamgongea kipusa na kumkata hewani.
Halafu misanya alikuwa anamkomesha kwa kugonga kipusa kama dakika moja hivi...yaani ukitafsiri ni kama vile alikuwa anamporomoshea mitusi kwake na kwa ndugu na masela wake.
Yaani huu utundu wa wabongo ungekuwa ni wa kutengeneza vyombo vya anga mwezini tungekuwa tushahamia.
Shafii kat0mba sana mademu kisa ugangaShafii na group lake wanajifanya maustadh kumbe watu wafooo
Umenikumbusha mbali kinomamshana juzi tulivyokuwa kibaha tulimuongelea huyu hatukujua km kashavuta kumbe
gari yake anaipiga service mwenyewe kaipaki kibaraxani kwake anaipiga jeki na ovaroli anazamchini
ana mikogo balaa
shunie kumbe mtoto wa mwananyama enzi ya NDEKA nakupa list lazima hawa maticha lazima uwafahamu
NDAGO la kwanza darasa lake lipo juu mlango unaangalia unaangalia geti la shure chumba cha kwanza njia ya kwenda assemble upande wa msikitini Huyu ticha kawafundisha wadangaji na wezi wote wa mwananyamala
MWAMBOLA akiwa zamu ukinunua askrimu anakuachia upite ila anagonga fimbo balaa
MANYANGA kazi yake kutongoza wanafunzi
MWANACHIA anapiga balaa
MBOGOLO mguu mbovu huyu ticha hakuna muhuni wa mwananyamala asomjua
getini enzi tunasoma alikuwa mlizi wa kimasai LAZARO mwalimu mkuu mwakatobe
enzi niliosoma MWANANYAMALA B choo kilibomoka tukawa tunarudi saa nne mpk kilipojengwa choo kingine bila kumsahauTicha MALIPURA wa la SABA kujinadi anao mtihani na majibu ya mtihani wa la saba taifa
vipi la saba la Ticha MADANDI ulikuwepo mkali wa MATH kipindi hicho tunapiga tuiton kwa Ticha maiko Ujiji Tumegawanywa kwa DALASA la A ndo wenye AKILI ukiwa F au E we kilaza wa kutupwa
itakuwa umekula sana miogo ya MZEE MSIBA na ndizi za MAMA ABDALAH canteen pale ha ha ha [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yupo wapi huyu mzee siku hizi?Mpika chips hiyo sio mzee sewando
Amefariki mkuuYupo wapi huyu mzee siku hizi?
Huyu jamaa waiti kama albino alikuwa anapiga sana chandimUmenikumbusha mbali kinoma
We utakuwa umemaliza na kina Ally mtasha...sadat...kizibo
ha ha ha KIZIBO namkumbuka ila alitupita darasa moja wao walianza kumaliza mwaka mmoja mbele class yetu sisi ilikuwa na kina jafar santo fatum kawale ally loko na kina abd ljohUmenikumbusha mbali kinoma
We utakuwa umemaliza na kina Ally mtasha...sadat...kizibo
We shunie utakuwa umemaliza na kina shukuru maisha,neema mkekenaAmefariki mkuu
Ok...kumbe tulikuachaha ha ha KIZIBO namkumbuka ila alitupita darasa moja wao walianza kumaliza mwaka mmoja mbele class yetu sisi ilikuwa na kina jafar santo fatum kawale ally loko na kina abd ljoh
Huyu sharifa ameachia sana kyuma yake kwa masela...alikuwa shombeshombeSharifa huyu wa minazini karibu na kwa kina Stella mng'ande
Muongeze cestr mkuuBigup ziwaendee
Shunie, Mshanajr, Mjushi mmetisher kwenye huu uzi
Neema hilo jina nalikumbuka hiviii walimaliza mwaka ganiWe shunie utakuwa umemaliza na kina shukuru maisha,neema mkekena
Hapana sio huyo huyu wa minaziniHuyu sharifa ameachia sana kyuma yake kwa masela...alikuwa shombeshombe
Duh,thanks kwa info madam.Mungu amrehemu.Amefariki mkuu
AmeenDuh,thanks kwa info madam.Mungu amrehemu.
Neema hilo jina nalikumbuka hiviii walimaliza mwaka gani