Vituko vya mochwari

Vituko vya mochwari

Sasa Prof Mshana mfano katika mishe zako haijawahi kutokea labda maiti ikakuongelesha labda? maana ni kituko pia Mimi kule nimeingia kama mara mbili lakini nikiwa tayari nimeisha jiunga tayari na ka kiroba changu.Na kuna moja nilitaka kuikanyaga
Ingelalaika sana ungeikanyaga
 
Mshana mbona unapenda sana habai za maiti, kufa, peoponi? Please tell us thee secreat behind?
 
Mmhh ngoja niachane na huu Uzi nisije nikaota usiku bureee
 
Daaah, no wonder

Hii thread imefanya nikaingia youtube kucheki video za post mortem, damn damn!! Una roho ngumu kiongozi!!!
At the beginning it was not that much easy kaka
 
41sBdXOLymL._AC_UL320_SR248%2C320_.jpg
 
Back
Top Bottom