mpemba mbishi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,132
- 188
Mimba noma, kuna jamaa
alitolewa night kali akatafte
vitango tena kwa kilio, ikabidi jamaa amuamshe muuza vitango tena mbali na home kwao, jamaa aliporudi akaambiwa avioshe na avimenye then avikate alipomaliza akavipeleka, mwanamke akamwambiwa akae chini ya maskio ya mkewe avitafune vyote! Kumbe dem alitamani kuskia kitango kinavyotafunwa!
Umeshashiba urojo sasa hivi ukaamua kuja kuzingua tu hapa. Sawa!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
huyo kazidi.maybe hiyo mimba anamkomoa kwa aliyomfanyia wakati hana mimba
Umeshashiba urojo sasa hivi ukaamua kuja kuzingua tu hapa. Sawa!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sio kosa lako tatizo huyajui maisha hayo! Kuna mwengine anaweza kukwambia anapenda kusikiliza harufu ya makwapa yako!
Sasa balaa zaidi linaweza kutokezea siku akapita njemba mama watoto akatamani kuisikia harufu ya makwapa ya huyo mjamaa au nyumbani siku hiyo hulali, na hutolala kweli! Je kama wewe utafanya nini?
Mkuu usibishe mimba ni zaidi ya ugonjwa...
Mimba noma, kuna jamaa
alitolewa night kali akatafte
vitango tena kwa kilio, ikabidi jamaa amuamshe muuza vitango tena mbali na home kwao, jamaa aliporudi akaambiwa avioshe na avimenye then avikate alipomaliza akavipeleka, mwanamke akamwambiwa akae chini ya maskio ya mkewe avitafune vyote! Kumbe dem alitamani kuskia kitango kinavyotafunwa!
mpemba pumbafu,thread gani hiyo?
Kusikiliza harufu? Yaani makwapa yanatoa sauti, jasho hilo kiboko!
Mi nahisi mimba zangu zitakuwa zinataka holidays sychelles na brazil. Don Mangi, ntakuita uchangie.maskio ya mtoto afu unipeleke holidays. Paw kazi yake kununua pizza na magari, manake.nahisi mimba itakuwa inapenda magari balaa!