Vituko vya mimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituko vya mimba

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kaka Sam, Jan 11, 2011.

 1. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna mjamzito mmoja alinunua embe alivyokuwa wametoka kutembea na best yake alivofika home akaliweka kwny fridge kisha akalala mume wake akarudi toka ofcn akala embe la mkewe kisha akaondoka mdada akaamka mawazo yote kwny embe kufika fridgin embe lake limeliwa ilikuwa ni balaa alilia mpaka mume wake alivorudi,
  mume wake akapanick akijua anaumwa kumbe analilia embe lake

  em wekeni vituko vingine basi tucheke.........
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mi nilikutana na limama limoja,baada ya goli 1 nikasema naomba niondoke,yule mama akanambia hapa hutok,umeshanichafua ama cvyo naziloweka nguo zako,
  na hutoki hapa kwangu,
  ah,ikanibid nimgonge cha pili,ctak tena hata kuonana nae
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  hilo limama lilikuwa mjamzito?
   
 4. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe ushaanza kuleta matusi, em nenda kwenye jukwaa lenu lile, humu hakukufai. lol
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  He!
   
 6. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  ungesema tu ulikutana na mama mmoja badala ya limama ingepeneza sana.
   
 7. El Magnifico

  El Magnifico Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna dada mmoja nilimshuhudia yeye mimba yake ilikuwa inapenda harusfu ya kinyesi.

  Kila saa tunamuona anaenda chooni ikabidi kuchunguza maana anaenda kila saa na anakaa muda mrefu sana

  Katika kumuuuliza sana alithibitisha kuwa anapenda sana harufu ya kinyesi (choo chenyewe cha shimo) hasa wakati ule wakati ule wa jioni/usiku ambapo huwa kinatoa mvuke sana na harufu hivyo huegesha pua yake hapo na kunusa mpaka akiridhika ndipo anarudi ndani au kuendelea na shughuli nyinginezo
   
 8. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Sipati picha akili za mtoto aliyezaliwa.
   
 9. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mbona wote hamjachekesha !
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jamni mbona amchekeshi mnatoa story tu
   
Loading...