Vituko vya Mfugaji kwa mwandishi wa habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituko vya Mfugaji kwa mwandishi wa habari

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Dr. Wansegamila, Oct 15, 2012.

 1. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Mkulima amejiwa na mwaandishi wa magazeti kumuhoji ... kuhusu maisha ya shambani,na mkulima huyu hawapendi
  waandishi wa habari akaona bora amchoshe katika kujibu maswali,
  na mambo yakawa hivi;
  MWANDISHI: Wewe unawalisha ng'ombe chakula gani?,
  MKULIMA: Ng'ombe yupi Mweupe au Mwekundu?
  MWANDISHI: Ng'ombe mweupe
  MKULIMA: Ninamlisha nyasi na viguta vya mahindi,
  MWANDISHI: Na mwekundu??
  MKULIMA: vilevile nyasi na viguta vya mahindi,
  MWANDISHI: ahaa sawa,na sehemu ya kulala ni wapi?
  MKULIMA: Ng'ombe yupi mweupe au mwekundu?
  MWANDISHI: Mweupeee!!!
  MKULIMA: Mweupe ninamlaza bomani kulee,
  MWANDISHI: na mwekundu?
  MKULIMA: vilevile ninamlaza na mwenziwe!!!!
  MWANDISHI: Hii sehemu yote majumbamengi,Na wakienda
  kulisha unafanyaje?
  MKULIMA: Yupi mweupe au mwekundu?
  MWANDISHI: Woooteeee!!!! {kwa hasira}
  MKULIMA: Mweupe nina mfunga kambana kumzungusha
  malishoni na kumrudisha,
  MWANDISHI: na mwekundu vilevile?
  MKULIMA: Mwekundu?,mweku ndu ninamfunga kamba na
  kuzunguka nae kama mwenziwe!!!
  MWANDISHI: Kwanini kila mara nikikuuliza huduma
  za ng'ombe zako unaniuliza mweupe au mwekundu
  halafu inatokea kuwa kazi zao wote ni sawa?????,
  MKULIMA: Kwasababu Ng'ombe mweupe ni wangu,
  MWANDISHI: Na mwekundu?
  MKULIMA: Ni wangu vilevile!!!!!!
  MWANDISHI HOI..!!
   
 2. Michael Bosco

  Michael Bosco Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  teh teh teh teh teh teh teh
   
 3. kapingili

  kapingili Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Hahahahaha
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  ningekuwa mimi ni mwandishi ningeji CCM
   
 5. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Na mkulima si angeku mwangosi??
   
 6. O

  Obinna Senior Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi huyo mwandishi alikuwa na mike nyeupe au nyekundu?
   
 7. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  hehe Huyo Ng'ombe Mweupe atakuwa kazaliwa Tanga Siku moja na Nazjaz
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. m

  mattnard Senior Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ngombe ****
   
 9. w

  wakunyata Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ingekuwa mimi ningejua anatudhalilisha ningeenda kuchoma kanisa lililo karibu naye.
   
 10. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hilo jibu la mwisho ndo kaua kabisaaaaaa. Nimecheka hati kigarika changu kinanishangaa.
   
 11. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ha ha ha ha
   
Loading...