PACHOTO
JF-Expert Member
- Dec 30, 2011
- 1,321
- 974
Wadau poleni kwa 'BERLIN WALL'
Kama mada inavyojieleza nina mchumba wangu na wote tunaishi huku mikoa ya kusini mwa Tanzania. Sasa nimepata mtihani mama mkwe wangu ni mkarimu sana si unajua tena anabembeleza ndoa ya mwanae. Sasa wikend hii iliyopita niliamua kumtembelea mchumba wangu ki ukweli hatuishi mji mmoja, bahati mbaya sikumkuta na sikumpa taarifa kuhusu ujio wangu.
Basi bwana nikatinga home kwao nikamkuta mama mkwe mtarajiwa akanikaribisha kwa bashasha sana. Nikapiga zangu story mbili tatu nikaamua kuaga nirudi zangu home ninakoishi kwa kuwa mchumba wangu hakuwepo, hivyo mama mkwe akaamua anisindikize kidogo lakini kuna neno niliambiwa na mama mkwe wangu hadi leo sijajua lina maana gani naomba wajuvi wanisaidie.
Niliambiwa hiviiiii na mama mkwe 'KWANI UMEPENDA CHA NTOTO TU, JEEE CHA MAMA AKE HUKIPENDI? Hadi leo sijapata majibu ni nini hicho sikipendi?
Had leo nimekosa majibu kwake!

!