Vituko vya mama mkwe

Vituko vya mama mkwe

Hiyo ni laana na ukitembea na mkweo ata kizazi chako kitapata laana achana nae mkwepe hafai mkweo wala usiwe na ukaribu nae
 
Da unaweza kuta hata mwanao kaenda kuliwa ndo maana hukufanikiwa kumkuta home, please be away on that shame.
 
Sasa umeacha kumuliza mwenyewe pale pale alipo kuwambia sisi tutajuaje labda chakula
 
Wadau poleni kwa 'BERLIN WALL'
Kama mada inavyojieleza nina mchumba wangu na wote tunaishi huku mikoa ya kusini mwa TANZANIA, sasa nimepata mtihani mama mkwe wangu ni mkarimu sana si unajua tena anabembeleza ndoa ya mwanae, sasa wikend hii iliyopita niliamua kumtembelea mchumba wangu ki ukweli hatuishi mji mmoja, bahati mbaya sikumkuta na sikumpa taarifa kuhusu ujio wangu, basi bwana nikatinga home kwao nikamkuta mama mkwe mtarajiwa akanikaribisha kwa bashasha sana, nikapiga zangu story mbili tatu nikaamua kuaga nirudi zangu home ninakoishi kwa kuwa mchumba wangu hakuwepo, hivyo mama mkwe akaamua anisindikize kdg lakini kuna neno niliambiwa na mama mkwe wangu hadi leo sijajua lina maana gani naomba wajuvi wanisaidie, niliambiwa hiviiiii na mama mkwe 'KWANI UMEPENDA CHA NTOTO TU, JEEE CHA MAMA AKE HUKIPENDI? hadi leo sijapata majibu ni nini hicho sikipendi?
Had leo nimekosa majibu kwake!
Tumia akil kijana hcho n kipimo cha mama mkwe kma ww n mpakuaji ama la.ukikubal tu umemkosa mwanae na mama akupi kitu hapo.
 
tomm.ba kaka unasubiri nini. Infact, mimi huwa sisubirigi kuulizwa hivyo nikiona mama mkwe haeleweki namuwahi mimi nimgegede nae mambo haya kula na mwenzio.
 
kuanzia wewe mkeo na mama mkwe wako wote mnaonekana ni watu wa hovyo hovyo
Hovyo hovyo haswaaaa..mama gani asiyejielewa,ujana wake autumie wapi uzee aje kushea na mwanae..khaaa
 
Wadau poleni kwa 'BERLIN WALL'
Kama mada inavyojieleza nina mchumba wangu na wote tunaishi huku mikoa ya kusini mwa TANZANIA, sasa nimepata mtihani mama mkwe wangu ni mkarimu sana si unajua tena anabembeleza ndoa ya mwanae, sasa wikend hii iliyopita niliamua kumtembelea mchumba wangu ki ukweli hatuishi mji mmoja, bahati mbaya sikumkuta na sikumpa taarifa kuhusu ujio wangu, basi bwana nikatinga home kwao nikamkuta mama mkwe mtarajiwa akanikaribisha kwa bashasha sana, nikapiga zangu story mbili tatu nikaamua kuaga nirudi zangu home ninakoishi kwa kuwa mchumba wangu hakuwepo, hivyo mama mkwe akaamua anisindikize kdg lakini kuna neno niliambiwa na mama mkwe wangu hadi leo sijajua lina maana gani naomba wajuvi wanisaidie, niliambiwa hiviiiii na mama mkwe 'KWANI UMEPENDA CHA NTOTO TU, JEEE CHA MAMA AKE HUKIPENDI? hadi leo sijapata majibu ni nini hicho sikipendi?
Had leo nimekosa majibu kwake!
Wamakonde ktk ubora wao kesho nakuja masasi- ndanda high xuli
Ww ungemjibu hivi bana ww je shi kuntega huko
 
Wadau poleni kwa 'BERLIN WALL'

Kama mada inavyojieleza nina mchumba wangu na wote tunaishi huku mikoa ya kusini mwa Tanzania. Sasa nimepata mtihani mama mkwe wangu ni mkarimu sana si unajua tena anabembeleza ndoa ya mwanae. Sasa wikend hii iliyopita niliamua kumtembelea mchumba wangu ki ukweli hatuishi mji mmoja, bahati mbaya sikumkuta na sikumpa taarifa kuhusu ujio wangu.

Basi bwana nikatinga home kwao nikamkuta mama mkwe mtarajiwa akanikaribisha kwa bashasha sana. Nikapiga zangu story mbili tatu nikaamua kuaga nirudi zangu home ninakoishi kwa kuwa mchumba wangu hakuwepo, hivyo mama mkwe akaamua anisindikize kidogo lakini kuna neno niliambiwa na mama mkwe wangu hadi leo sijajua lina maana gani naomba wajuvi wanisaidie.

Niliambiwa hiviiiii na mama mkwe 'KWANI UMEPENDA CHA NTOTO TU, JEEE CHA MAMA AKE HUKIPENDI? Hadi leo sijapata majibu ni nini hicho sikipendi?

Had leo nimekosa majibu kwake!
Ambacho unakipenda kwa mtoto nae anacho kwan hukitak
 
bah ungenjibu hiv cha mama ake ndio kilinchontoa ntoto......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom