Vituko vya mama mkwe

Vituko vya mama mkwe

sasa ujaelewa nini au ujinga umetuzidi mwanaume mzima hilo nalo jambo la kusaidiwa
 
You made up that story dude!!! Kwanini uwatembelee wakati mchumba wako hayupo home does it make sense?
 
Bila shaka mkwe wako kwa lafudhi yake inaonekana ametoboa lips ya chini na kuweka ndonya na kuparua usooo.... urembo wa zamani ...kama unavutiwa na 1940s beauty style, hadi uwe tiyari ku do, then be my guest!!
 
You made up that story dude!!! Kwanini uwatembelee wakati mchumba wako hayupo home does it make sense?
hahahaaaaaaaaa ukiweka kisa cha kweli hupati mchango, lakini visa kama hivi vya kubuni hadi server inatingishika
 
Daah,mama mkwe amekushangaa,story mbili tatu huyooo unasepa,ni dalili humthamini ulikuwa wamuhitaji mchumba wako tu,pengine umeelewa tofauuuuti,
 
Sijui kama ni kweli hujui au unatutania. Za kuambiwa changanya na zako
 
Haya mambo yapo sana. Mimi yalinikuta na mtoto wa kipare. Sasa nimeshambanjua mtoto wake, japo hakuna uchumba wala ndoa na yeye anajua. Mama mtu hajui kama mimi nina uhusiano na mtoto wake. Sasa tukikutana yule mama ananisalimia kwa bashasha sana, nikimpa mkono wa salamu anaushika, alafu anaupeleka kwenye ziwa lake anautuliza pale. Alafu sasa amejaliwa big boobs. Siku nyingine tukisalimiana ananikumbatia kama vile wapenzi, huwa nawaza tuu sijui anaogopa kusema nikamle? Huyu mama mume wake alifariki kwa ajali miaka mingi kidogo na ameamua asiolewe. Sasa naona anazidiwa na nyege
 
acha kujifanya hukuelewa mkuu, mama nae anataka upige mambo kuwa makini sana na jiepushe kukaa na huyo mama pasipo uwepo wa bintiye mchumba wako. dunia hii jamani yaani hii ni kama mara ya tano naona uzi ya wamama kuwataka wakamwana wao(wachumba wa binti zao). hii ni hatari hata kama anataka mtu wa kuwa nae ndo akamtake mchumba wa bintiye!!! dah this World turn into hell
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom