- Thread starter
- #21
Mrudisheee ushauri wa bureee[/QUOTE
Ok ngoja nifanye hivyo
Mrudisheee ushauri wa bureee[/QUOTE
Ok ngoja nifanye hivyo
Duh haya wengi wape soon atarud kwaoHuyo ni wa kurudishwa kwao tu... Katafute mfanyakazi kafr mwenzako.
Nami nimejionea,sasa najiuliza alidhan amekuja talii ama?Mrudishe kwao huyo sio wa kufanya kazi!
Tatizo ni nina mtoto mdogo afu likizo ya uzaz inaisha soon mwanangu ntamwacha na nan nikienda job?
Kwa Maelezo yako inaonekana hujaolewa naweza pata namba yako ya simu?
Huyo binti hana nia ya kazi!.ulikosea kumwacha bila kazi kwa mda na kumpikia.anataka kurudi kwao.mrudishe tafuta mwingine,kitendo cha yeye mwenyewe kwenda kununua nyama kisha anadai najisi ni hila.pia kitendo cha kujenga ukaribu na majirani kupewa simu na kupeleka umbeya kwao haifai.pia hamuwezi kukaa wakati hamuaminiani.hakwamini nawewe humwamini.piga chini agiza mwingine usisubutu kumpikia mfanyakazi! labda kama hajui unamfundisha iwe mara moja moja.
Kesho ntawasiliana na aliyemleta amrudiahe mshahara wake na nauli vyote ntatoamrudishe haraka. Mpe mshahara kamili na kadhalika. Hakikisha unamsafirisha na anafika salama. Ukiendelea kukaa naye utapata majanga makubwa sana.
Rudisha haraka sana. Kuna mmoja alituzingua eti kwao matajiri, wana mashamba makubwa ya miwa hadi wanatupa. Tulimpiga chini akaolewa na muuza mitumba.
Mabinti wengine wajinga sana!
Nilimpa muda azoee mazingira na kujifunza kazi kumbe nilikuwa natega bomu ndani kwangu,ila kitendo cha kusema nimemnyima chakula kimenisikitisha sana.
Hakufai kabisa huyo....nashauri kwahizo sehemu kama tanga huwezi pata binti atakaye kufaa...
Dah hii mmitihan isingekuwa mwanangu wala singehangaika kutafuta usaidizRudisha haraka sana. Kuna mmoja alituzingua eti kwao matajiri, wana mashamba makubwa ya miwa hadi wanatupa. Tulimpiga chini akaolewa na muuza mitumba.
Mabinti wengine wajinga sana!