Vituko vya binti wa kazi toka Tanga

Tatizo ni nina mtoto mdogo afu likizo ya uzaz inaisha soon mwanangu ntamwacha na nan nikienda job?

Je! Unafikiri huyo anaweza kukaa na mwanao kwa ukamilifu??

Mrudishe kabla likizo haijaisha ili ujipange mapema.
 
mrudishe haraka. Mpe mshahara kamili na kadhalika. Hakikisha unamsafirisha na anafika salama. Ukiendelea kukaa naye utapata majanga makubwa sana.
 
Wadada wa ndani ni pasua kichwa,halafu kipindi wakija na wakajuwa huna option nyingine zaidi ya kumtegemea yeye tu banah wee atakusumbua mbaya kabisa,mimi wangu alileta hizo jeuri nikamwambia sasa ajiandae kwenda kwao akasalimie ndugu zake kipindi hichi cha sikukuu kumbe nataka kufanya replacement,tokea nimemwambia hivyo naona kinajituma tafikiri robot, ila mpango wa replacement upo pale pale namtimua, maana ana kiburi cha chinichini, ila amenyooka baada ya kuona nipo serious andoke
 
Rudisha haraka sana. Kuna mmoja alituzingua eti kwao matajiri, wana mashamba makubwa ya miwa hadi wanatupa. Tulimpiga chini akaolewa na muuza mitumba.

Mabinti wengine wajinga sana!
 
Huyo binti hana nia ya kazi!.ulikosea kumwacha bila kazi kwa mda na kumpikia.anataka kurudi kwao.mrudishe tafuta mwingine,kitendo cha yeye mwenyewe kwenda kununua nyama kisha anadai najisi ni hila.pia kitendo cha kujenga ukaribu na majirani kupewa simu na kupeleka umbeya kwao haifai.pia hamuwezi kukaa wakati hamuaminiani.hakwamini nawewe humwamini.piga chini agiza mwingine usisubutu kumpikia mfanyakazi! labda kama hajui unamfundisha iwe mara moja moja.

Nilimpa muda azoee mazingira na kujifunza kazi kumbe nilikuwa natega bomu ndani kwangu,ila kitendo cha kusema nimemnyima chakula kimenisikitisha sana.
 
mrudishe haraka. Mpe mshahara kamili na kadhalika. Hakikisha unamsafirisha na anafika salama. Ukiendelea kukaa naye utapata majanga makubwa sana.
Kesho ntawasiliana na aliyemleta amrudiahe mshahara wake na nauli vyote ntatoa
 
Rudisha haraka sana. Kuna mmoja alituzingua eti kwao matajiri, wana mashamba makubwa ya miwa hadi wanatupa. Tulimpiga chini akaolewa na muuza mitumba.

Mabinti wengine wajinga sana!

Halafu ukikuta wanawapigia debe katika social medias!!!!!...unaeza dhani kuwa wao ni malaika wasiokosea..
Tabia nilioijua kwa madada wa kazi wengi ni kuwa wakitendewa kama watoto wa wenye nyumba huwa wanasahau kama wapo kikazi hivyo,huanzisha league za kipuuzi ndani na usiombe atongozwe na father house lazma mumkome....
 
Nilimpa muda azoee mazingira na kujifunza kazi kumbe nilikuwa natega bomu ndani kwangu,ila kitendo cha kusema nimemnyima chakula kimenisikitisha sana.

Nadhani umekosea kumuacha apumzike hizo siku mbili. .
Inabidi tokea siku ya kwanza mnafanya wote shughuli ili ajifunze
 
Rudisha haraka sana. Kuna mmoja alituzingua eti kwao matajiri, wana mashamba makubwa ya miwa hadi wanatupa. Tulimpiga chini akaolewa na muuza mitumba.

Mabinti wengine wajinga sana!
Dah hii mmitihan isingekuwa mwanangu wala singehangaika kutafuta usaidiz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom