Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,848
- 147,120
Lete kibamia hicho nikorogee mlenda[emoji23]Wee mtani wangu mbona wee wanitania kibamia changu
Lete kibamia hicho nikorogee mlenda[emoji23]Wee mtani wangu mbona wee wanitania kibamia changu
Umejuaje?? kama upo kumkichwa yangu[emoji23]Wee utangoja mpaka mwaka 2030 ndio uolewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sii tunakuwa na furaha kuwa kumbe tumetunza dada yetu vizuri mpaka mtu ameona anafaa kuwa mkeNikiolewa nyie mnapata faida gani[emoji23]
Ngoja nijiungamanishe kwa mwamposa live,Sii tunakuwa na furaha kuwa kumbe tumetunza dada yetu vizuri mpaka mtu ameona anafaa kuwa mke
wapi bujibuji