Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20231212-163456.jpg
 
Mzab[emoji23], anaenipenda mbona yupo[emoji23]
Narudia tena mlete nyumbani ajitambulishe kaka zako tumechoka kuona unakula bure tuu hapa alafu kibaya zaidi tako unalo sasa kwa nini huolewi wewe dada yetu? Mwishoe tutafanya maamuzi magumu
 
Nikiolewa nyie mnapata faida gani[emoji23]
 
Back
Top Bottom