Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Huyu nabii naye mh!!!
She is repenting....😃😃
Mjukuu wewe ni "mkorofi" wa chini chini!She is repenting....😃😃
Tumefikia huku jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂hiii dunia n mbinu tuuu cha msingi usikamatwe.Jamaa kaingia kula hotelini kaacha huo mzigo eti akachukue hela kwa wakala aje alipe. Kumbe kaacha jiwe!
View attachment 2840599View attachment 2840600
Mjini hapa unaweza kufa na njaa ukizubaa. Hapo utakuta kafukia chakula hata cha 100K kisa katoka safari ya kibiashara mikoani...Tumefikia huku jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂hiii dunia n mbinu tuuu cha msingi usikamatwe.
Baba mwenye nyumba na wapangaji wake hii nzuri.
Na imebarikiwa 😃😃😃😃🙌🙌.
Noooo 😃😃😃😃....any way