Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

🤣🤣
Screenshot_20231211_201505_WhatsApp.jpg
 
MUME NA MKE WAMEPOTEA MAZINGIRA YA KUTATANISHA WAKIWA NA GARI MPYA NA MTU ALIYEWASINDIKIZA AITWAYE DUDU!

Juliana Medard (pichani) na Charles Aden Mwampyate (aliyepiga picha na gari) ambao ni wenzi (mume na mke) wakazi wa Kyela, Mbeya waliagiza gari bandarini. Lilipofika walimuomba
Jeremiah Swila maarufu kama Dudu (aliyevaa mkufu shingoni) asafiri nao kutoka Kyela hadi Dar es Salaam ili awasaidie katika kuendesha gari . Lengo lao lilikuwa Dudu yeye aendeshe gari mojawapo wakati wa kurudi.

Taarifa zinasema kuwa watu wote hao watatu wamepotea katika mazingira ya kutatanisha kwani tangu tarehe 6 Desemba 2023 hadi leo hawajulikani walipo. Hakuna anayejua taarifa za gari walilosafiri nalo kutoka Kyela na wala gari mpya kutoka bandarini. Ndugu wanasema kuwa siku mbili kabla ya Juliana na Charles waliaga kuwa wanatakwenda Dar es Salaam.

Yeyote atakayewaona anaombwa kutoa taarifa katika Kituo cho chote cha Polisi au apige simu
hizi: 0754840608, 0719979820 na 0765591232

FB_IMG_1702338094021.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
IGNORE HATERS AND STAY CONFIDENT

Never worry about those who don't like you. Remember, those who hate you don't truly know you. In fact, they might be upset because they aren't like you. When people don't like you, it's often out of envy. Envy is the price that haters pay.

Think about it: when someone says they don't like you, should you really care? The people they do like – are they getting paid for it? No. Your worth isn't determined by someone else's opinion. If someone doesn't like your face, does their dislike make any face better? Of course not.

It takes a lot of energy to dislike someone. So, if your neighbor doesn't like you, why should it bother you? Your life doesn't depend on their approval. In fact, when people ignore you, it can actually speed up your journey. Their indifference can be your motivation.

Always remember, your value doesn't decrease based on someone's inability to see your worth. God loves you – isn't that enough? When people try to pull you down, stand firm. They're not going anywhere. When they talk about you or attack you, let it slide off you like water off a duck's back. Wear their criticism like a badge of honor and keep moving forward.

Don't let backbiters disturb you. Let them stay in the background. You're moving forward, not drowning in their negativity. Dress your best, not for them, but for yourself. Shine bright, because those who truly matter will see your light.

Everyone SHOULD remember, those who dislike you are often just reflecting their own issues. Your strength lies in knowing your own worth and moving forward with confidence and grace.
FB_IMG_1702337752830.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom