Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

e810458e1c2b087a4f95f5f2326c1ea1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa minimum
Shinyanga, Dar, Pwani, Mafia,Tanga, Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kigoma na Kagera tujiandae, kutakuwepo na Pacific El nino na Atlantic El nino, mvua zitakuwa kubwa na hatari sana, Mungu atunusuru. Hali ya hewa tayari imebadilika kuanzia juzi, upepo umeanza katika bahari za Atlantic, Pacific na Hindi, Wavuvi wameanza kuzuiwa kwenda kuvua na Meli za tafiti zimeanza kukumbana na dhoruba kali sana Baharini, picha za satellite sio nzuri kabisa. Tunatarajia magonjwa ya Kuharisha, Dengue, Malaria na Homa kuongezeka, tuchukue tahadhari mapema.
Tuangalie nyumba zetu kama zinavuja, turekebishe, tununue Neti za Mbu, tuangalie miundombinu ya maji taka kwenye nyumba zetu. Tununue Jik na water guard kwa ajili ya kuweka kwenye maji ya kunywa, kumbuka kipindi hicho umeme utakatika sana kwa hiyo tununue taa za kuchaji. Sehemu za nyumba ambazo sio imara turekebishe. Tuweke akiba ya chakula na dawa.
Tununue dawa za Mafua, dawa za Watoto za Mafua na Kuharisha, na dawa za Malaria. Tuhifadhi vyakula vikavu kwa mfano nafaka kwa wingi na tununue vitu vya kuhifadhia vyakula. Shinyanga, Dar, Pwani, Tanga zitapata mvua za kiwango cha juu zaidi (above normal to normal)
Send as received
 

Attachments

  • IMG-20231209-WA0058.jpg
    IMG-20231209-WA0058.jpg
    41.8 KB · Views: 7
US President: Biden Age : 82 Years Sequence of events : 1. Wife & Daughter died in road accident whilst going to purchase Christmas Tree 2. One son died due to brain cancer 3. Second son due to cocaine addiction; was removed from U S Navy 4. Biden also had a life threatening brain aneurysm in 1988 and he survived after the surgery Despite the negative life situations, this man at the age of 78 becomes the President of USA This is one of the perfect case studies for the senior citizens of the world He will be physically and mentally fit to take this huge responsibility And we at the age of 60-65 think that every thing is over So all senior citizens !! take this as your new beginning Set your targets You are still young Work hard and achieve what you could not achieve till now Pass on to all senior citizens.
 
Nchi alizoenda Mama kwa ajili ya kazi za Taifa tangu awe Rais 👏👏👏😳😳

1: 10 Apr 21. - -> Uganda.
2: 4 May 21 - -> Kenya
3: 12 May 21 - -> Uganda
4: 22 June 21 - -> Msumbiji
5: 16 Jul 21 - -> Burundi
6: 02 Aug 21 - -> Rwanda
7: 16 Aug 21 - - > Malawi
8: 24 Aug 21 - - > Zambia
9: 18 Sep 21 - - >. UN HQ (USA)
10. 20 Oct 21 - - > Scotland
11. 10 Nov 21- - > Misri
12. 10 Feb 22 - - > Ufaransa
13. 15 Feb 22 - - > Ubelgiji
14. 24 Feb 22 - - > Dubai
15. 13 April 22 - - > USA
16. 10 May 22 - - > Uganda
17. 23 May 22 - - > Ghana
18. 11 June 22 - -> Oman (kwa wajomba zetu)
19. 06 Jul 22 - - >. Senegal
20. 16 Aug 22 - - > DRC ( Congo)
21. 13 Sep 22 - - > Kenya
22. 17 Sep 22 - - > United Kingdom
23. 21 Sep 22 - - > Msumbiji
24. 04 Oct 22 - -> Qatar
25. 02 Nov 22 - -> China
26. 07 Nov 22 - -> Misri
27. 12 Dec 22 - -> USA (GMO)
28. 17 Jan 23 - -> Switzerand
29. 24 Jan 23.- -> Senegal
30. 04 Feb 23 - - > Burundi
31. 16 Feb 23 - - > Ethiopia
32. 15 Mar 23 - - > South Africa
33. 07 May 23 - - > Namibia
34. 25 May 23 - - > Uganda
35. 29 May 23- - > Nigeria
36. 05 July 23 - - > Malawi
37. 24 Aug 23 - -> South Africa
38. 05 Sept 23 - -> Kenya
39. 02 Oct 23 - -> Doha-Qatar
40. 08 Oct 23 - - > Delhi , India
41. 23 Oct 23 - - > Zambia
42. 02 Nov 23 - - > Rwanda
43. 08 Nov 23 - - > Morocco
44. 10 Nov 23 - - > Saudia Arabia
45. 30 Nov 23 - - > Dubai
Hii rikodi haijawekwa nadhani atakuwa wa kwanza...
 
Back
Top Bottom