Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_1640440439415.jpg
 
MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA

"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki alafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa

Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.

"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Alifariki kisha akampigia simu mwanawe
Malisa apelekwe chumba cha maiti Muhimbili akafanye maombi.
 
Back
Top Bottom