moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,133
- 770,207
"Sikia nikwambie mzee. Katibu mkuu hatoshi"
"Sikia nikwambie mzee. Katibu mkuu hatoshi"
Ukiweka ushabiki pembeni jezi kali na demu mkali ni kushoto


Kweli kabisa
Sawasawa..Huyu jamaa ni mtu poa sana. Nilikutana naye Dodoma yaani mnapiga stori tu bila wasiwasi.
Afya yake imekuwa ikimpa changamoto tangu enzi zile za Korona na ameshawahi kuzushiwa kifo si chini ya mara moja. Kuna wanaomwona kuwa ana sifa za kuwa namba wani (na hii ni hatari kwake!) japo kuna wanaodhani kuwa ni mpole mno.
Mungu na Amsaidie huko aliko apone arejee katika majukumu yake 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Wapi hiyoooo....