We si ulisema kuwa upo kwenye spiritual and mind cleansing na hutaiangalia hiyo connection? Tuviziwa umetuonaje?
Hizi mambo mkishajirekodi au kupigana picha kuna siku zitavuja tu hata mfanyeje. Na sasa Mange nasikia analipa mpaka milioni huko kwa hizi connection. Watu wataendelea kuwindana tu.
Kwenye lodges/hoteli uchwara nasikia kuna wafanyakazi ambao sio waaminifu hutegeshea camera hasa kwa hawa celebrities wetu ili wapate connection. Ndiyo maana nyingi quality yake huwa ya hovyo maana hazijapigwa kwa njia ya kawaida.
Hata wewe siku moja ukiliibua li Uwoya be careful. No phones na chunguza kuona kama hamrekodiwi kwa siri!