Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1701321868656.png
 
Huyu jamaa ni mtu poa sana. Nilikutana naye Dodoma yaani mnapiga stori tu bila wasiwasi.

Afya yake imekuwa ikimpa changamoto tangu enzi zile za Korona na ameshawahi kuzushiwa kifo si chini ya mara moja. Kuna wanaomwona kuwa ana sifa za kuwa namba wani (na hii ni hatari kwake!) japo kuna wanaodhani kuwa ni mpole mno.

Mungu na Amsaidie huko aliko apone arejee katika majukumu yake 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Back
Top Bottom