Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,072
- 72,464
Mi mbona nipo?
Kwani hujui pa kunipata mjukuu? [emoji15]
Nicheki basi pm babu
Nashindwa kukupata
Mi mbona nipo?
Kwani hujui pa kunipata mjukuu? [emoji15]
Huyu Dada anaitwa Joyce Mathias Sengiyumva au (Mama Samia) alifariki ghafla na ameacha mtoto mdogo anayeitwa SamiaMarehemu alikuwa anafanya kazi Ktk Nyumba ya kulala wageni inayojulikana kama GIBITA GUEST HOUSE iliyopo katika Mji mdogo wa Mugumu,Wilayani Serengeti,Enzi za uhai wake alikuwa akisema nyumbani kwao ni Ngara,Mkoani Kagera,juhudi za kuwapata ndugu zake mpk Sasa hazijafanikiwa,jaribu kusambaza ktk ma group mengi ili ndugu zake wapate kupatikana kwaajili ya kuwezesha mazishi yake lkn pia kwaajili ya kumchukua mtoto mdogo aliyemuacha.View attachment 2820747
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nakuja 🙏🏿Nicheki basi pm babu
Nashindwa kukupata
👍👍👍Sawa nakuja 🙏🏿
Mbona ni mwanaume huyoWatu watajifunza lini kuwa haya mapanga ya helikopita ni hatari sana hasa kwa watu warefu? 😳
View attachment 2820856
Ni mwanamke....ni mrefu na kavaa suruali...Mbona ni mwanaume huyo
= Asante Mungu
The richest man in Kenya
kwasasa hapo baharia anajihisi mwepesiii