Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

📌📌📌 🙏🏿

IMG-20231120-WA0050.jpg
 
Nani mfia dini? Chunga ulimi wako dogo hasa unapoongea na mababu zako . I am the most open-minded person who is always fascinated by science particularly how the universe and everything in it (including you - the atheist who originated from inorganic primordial soup and descended from a single-celled amoeba!) is fearfully and wonderfully made! Everything seems to be precisely calibrated all the way to the design of the smallest subatomic particles known to man

The DNA itself is a marvelous complicated machine that precisely encodes everything; and human beings are just starting to learn its many secrets. The main puzzle, for example, is trying to find out the function of the so called junk DNA which comprises almost 97% of all our DNA.

Anyway hapo juu niliuliza tu. Hii ni kweli kisayansi? Kwamba eti DNA iliyomo kwenye shahawa za kila mwanaume anayelala na mwanamke inakwenda kuhifadhiwa katika DNA yake na hatimaye kurithishwa kwa mtoto atakayemzaa huko mbele ya safari? Eti mwanamke ambaye hujamkuta bikra tayari ana mrundikano wa DNA kutoka kwa wanaume wote aliolala nao kabla yako; na mtoto mtakayemzaa atakuwa na DNA pia ya majamaa yote yaliyowahi kumla? Eti hii ndiyo sababu unaweza kuzaa litoto lina tabia za ajabu ajabu au magonjwa ambayo hayapo kwenye koo zote mbili za mume na mke?

View attachment 2820388

Is this scientific? Swali rahisi tu ambalo hata sijui ni kwa nini limefungamanishwa na ufia dini.

Hitimisho: Sometimes dogo HUFAI japo una akili sana!

Babuu weee shikamoo
 
Back
Top Bottom