Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,773
- 147,000
Kuwinda na mbwa?? Wanaenda kuwinda samaki mchanga.Safari ya kwenda kuwinda hiyo [emoji119]
Kuwinda na mbwa?? Wanaenda kuwinda samaki mchanga.Safari ya kwenda kuwinda hiyo [emoji119]
Movies za Kihindi
[emoji23][emoji23][emoji23]nataka nianze kula kama hivi niwe hiviAjiandae kupasuka tu maana sio kwa msosi huo [emoji119]
Ndiyo, kuwinda na Mbwa.Kuwinda na mbwa?? Wanaenda kuwinda samaki mchanga.
Unataka usifurahi maisha, unene sio mzuri ujue[emoji23][emoji23][emoji23]nataka nianze kula kama hivi niwe hivi
Digidigi ni mnyama analiwa??Ndiyo, kuwinda na Mbwa.
Ilikuwa kawaida kurudi na Digidigi, Sungura ama Ngiri kwaajili ya kitoweo.
Walioishi Town hizi mambo hawazijui kabisa
[emoji23][emoji23],hapana nilivyo kwasasa inatosha[emoji23],Unataka usifurahi maisha, unene sio mzuri ujue
Hakunaaaa😂😂😂😂wana tuova doziii.sijawahi kuona mchaga wa hivi😂
Kwamba kwasasa umenenepa?[emoji23][emoji23],hapana nilivyo kwasasa inatosha[emoji23],
Nikiongezeka nitashindwa kucheza amapiano[emoji2088]
Ni mnyama analiwa pia.Digidigi ni mnyama analiwa??
Yaani,mazingatio ya kula,na kula kwenyewe si kachori kama hapo nyuma[emoji23]Kwamba kwasasa umenenepa?
Selfika yetu ingekwepo hopefully ungetupiamo ka picha tukuone ulivyobongeka [emoji28]
Kumbe, na nyama yake ni tamu?Ni mnyama analiwa pia.
Ni kama mbuzi tu ama Swala kama umewahi kumuona pale Mikumi National Park
Umemaanisha nn mkuu.Ana kifinger aiseee. Na ule msauti wake wa bezi,
Ndiyo, ni tamu mno yaani 😋Kumbe, na nyama yake ni tamu?
Aende akamuulize Mama E changamoto anazopitia. Wakati mwingine mpaka namhurumia yaani. Kudeti last born siyo kazi rahisi haijalishi kama ana miaka 77 au 18! 😁😁😁
We mzee umeacha kuwinda??Ndiyo, ni tamu mno yaani [emoji39]
Kumbe unajijua kuwa unamsumbua mmama wa watu[emoji23],Aende akamuulize Mama E changamoto anazopitia. Wakati mwingine mpaka namhurumia yaani. Kudeti last born siyo kazi rahisi haijalishi kama ana miaka 77 au 18! [emoji16][emoji16][emoji16]