Mrembo aolewe mke wa pili...Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]Acha nisome coments[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2818837
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti wanaume wenye hela zenu[emoji23][emoji23]Hakuna mwanaume mwenye akili timamu anayeweza kuchukua hili tandam la over 40+.
Labda kama unataka akuleee ila wanaume wenye hela zetu tunapenda vibinti vidogo vidogo [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2818307