Asikusikie Shimba ya Buyenze !Hakuna mwanaume mwenye akili timamu anayeweza kuchukua hili tandam la over 40+.
Labda kama unataka akuleee ila wanaume wenye hela zetu tunapenda vibinti vidogo vidogo
View attachment 2818307
Kwamba mimi ndiyo napenda matandam ya over 40 kama huyo kijana anavyodai ama? 😁😁🖐
Pombe siyo supu!
Asante sana kijana. Siku yetu haipewi umuhimu wo wote. Vivyo hivyo hata katika jamii. Inabidi sisi wenyewe kwa wenyewe tuwe tunatiana moyo na kusaidiana. Umefanya vyema!Kwani tunawaza sasa?
Happy men's day wanangu Mshana Jr Shimba ya Buyenze Taavid
Tuendelee kua wagumu.
View attachment 2819017