Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ni yule anayewatoa bikra ama? 😳😳

Screenshot_20230418_095009_Instagram.jpg
 
Ogopa sana imani na kuwa brainwashed. Watu waliozama kwenye hizi personality cults za hawa manabii na mitume wa kisasa hawa kuwatoa huko ni shughuli pevu. Ndo maana mtu yupo tayari ndoa yake ivunjike lakini atimize matakwa ya nabii na mtume wake. Hatari sana!

Screenshot_20230425_165744_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom