whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,190
- 2,541
ndo maajab ya mmea,ukishapuliza unajikuta una question kila kitu
uzuri wa mmea network zinapotea na kurudi chap tofauti na mitungi
ndo maajab ya mmea,ukishapuliza unajikuta una question kila kitu
hapo mzee wa tozo ataingiza bus za yutong za kutosha..........
kataa ndoa
Hivi kwanini ukila kitu unakuwa calm sana. Nina mshkaji wangu huwa nikimkuta amepoa sana najua kabisa kaeka kitu!ndo maajab ya mmea,ukishapuliza unajikuta una question kila kitu
uzuri wa mmea network zinapotea na kurudi chap tofauti na mitungi
Hivi kwanini ukila kitu unakuwa calm sana. Nina mshkaji wangu huwa nikimkuta amepoa sana najua kabisa kaeka kitu!
mmea wa kujua mema na mabaya.utawakuta wanachekacheka tuHivi kwanini ukila kitu unakuwa calm sana. Nina mshkaji wangu huwa nikimkuta amepoa sana najua kabisa kaeka kitu!
mmea wa kujua mema na mabaya.utawakuta wanachekacheka tu

kaka umegusa mulemule japo sijakwambia. Jamaa kuna siku nishawahi kumkuta anachekacheka. Hii ni dalili nzuri kweli?!utakuta anacheka kitu cha kawaida sanaakaka umegusa mulemule japo sijakwambia. Jamaa kuna siku nishawahi kumkuta anachekacheka. Hii ni dalili nzuri kweli?!



Vimbaumbau ni tatizo. Sijui tu vipoje. Hapo pisi wala haina neno yaani lakini kenyewe sasa 🚮
Unakunywaga? 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Prof jay na ndio mzee kumbe hizi mambo zinawezekana.
Shida za figo na maini huko mbele ya safari....
Certified trash 🚮🚮🚮
Vimbaumbau tunashidaVimbaumbau ni tatizo. Sijui tu vipoje. Hapo pisi wala haina neno yaani lakini kenyewe sasa
Wamekufungulia?

,

