Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
5G 😁😁😁
Imagine mwanaume akapewa hivi na mimi mwanamke nikanyimwa dahWatumiaji wa iPhone[emoji16]View attachment 2812229
Najua ni katuni ila hii picha imenifanya nicheke kwa uchungu
Maokoto
Akule ngapi?
Hata wenye matende hawavaagi hii
Hii Rombo hii ai swea! 😁
Nilishakwambia. Ukitaka kunitag nitag kwenye SDY za kueleweka please 😬😬😬🚮
Muone! 😁😁😁😂😂😂😂😂Hii n kwelii
Wanyaki kwa ukorofi 😬😬😬Ale tu hivyohivyo kimyakimya Kaka mshana maana akiniambia hatutaelewana
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app