Hawa wanaopiga hizi picha ni kwanini huwa hawawasaidii?
Baada ya coment yako ndio ikafanya niangalie kuna uhusiano wowote?View attachment 2811768
Hizi propaganda nyingine bwana, ndiyo tuamini kuwa Abunuasi na kirani yake walikuwa CCM!
Ile kupiga picha nayo ni msaada, lakini sidhani kama wanawaacha vile walivyo wakuta, mpaka wanafunga safari kuwaendea mpaka pale walipo hawakupenda na kamera pekee.Hawa wanaopiga hizi picha ni kwanini huwa hawawasaidii?
Hili jiwe lipo barabara ya kuelekea Tanga mjini kati ya kiwanda cha Tanga Cement na gereza la maweni.