mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,267
- 75,364
hujawahi kuniniMie mbona sijawahi
hujawahi kuniniMie mbona sijawahi
Kupiga pasi.hujawahi kunini
Hapo tupia kadri utakavyo lakini Mimba utaisikia kwa wengine tu 🙌
hicho ambacho hujawahi mimi ntakua wa kwanza😋Kupiga pasi.
Hatari sana[emoji23][emoji23],Hapo tupia kadri utakavyo lakini Mimba utaisikia kwa wengine tu [emoji119]
Mshafungua chuo??hicho ambacho hujawahi mimi ntakua wa kwanza[emoji39]
Nitawaambia wajukuu zangu wawe makini na hao Wanawake 🤪Hatari sana[emoji23][emoji23],
Hakuna namna.
Wanakuwaje tena??Nitawaambia wajukuu zangu wawe makini na hao Wanawake [emoji2957]
Wanakuwaje tena??Nitawaambia wajukuu zangu wawe makini na hao Wanawake [emoji2957]
Acha njoo ulime[emoji23]Nitawaambia wajukuu zangu wawe makini na hao Wanawake [emoji2957]
Niandalie shamba ekari 3, nakuja na mbegu bora za mahindi 🤪Acha njoo ulime[emoji23]
Hao wa kuweka vimti vya uzazi, unakuta Mwanaume anahudumia akijua atapata mtoto kumbe mwenzake amezuia mimba kwa muda usiojulikanaWanakuwaje tena??
Umakini ni lazima.
Aisee dogo wewe umedata[emoji23]nitaacha kwa ajili yako ukitaka
Ni mipango pia,labda wajukuu zako nao hawataki watoto kwa muda usiojulikana[emoji15]Hao wa kuweka vimti vya uzazi, unakuta Mwanaume anahudumia akijua atapata mtoto kumbe mwenzake amezuia mimba kwa muda usiojulikana
Una hoja, ngoja niwaulize 🤪Ni mipanvo pia,labda wajukuu zako nao hawataki watoto kwa muda usiojulikana[emoji15]
Hauogopi wachawi na hizo mbegu zako??Niandalie shamba ekari 3, nakuja na mbegu bora za mahindi [emoji2957]
Hauogopi wachawi na hizo mbegu zako??Niandalie shamba ekari 3, nakuja na mbegu bora za mahindi [emoji2957]
Wanazaa kwa mipango[emoji23][emoji23][emoji23],Una hoja, ngoja niwaulize [emoji2957]
Tangu lini Wazee wakawa waoga wa mambo ya Mila. Uchawi ni mila halisi za Kiafrika 🤪Hauogopi wachawi na hizo mbegu zako??