Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Ndo huyu aliyetuletea akina Onana na ukuta mzima wa Yeriko? 😳
Mimi ni Yanga 😊😊Mideko usinambie na ujanja wako wote huu nawe ni Makolo. Nitahama JF mazima wallahi 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 2808562
That's my girl! ❤️😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Mimi ni Yanga 😊😊
mi nilishangaa, kuona mdada katulia tu anazimishiwa kitu mara mbele mara nyumaUkimfanyia hivi dada au binti yangu basi jua tu kuwa mimi nitafia gerezani 😬😬😬🚮
View attachment 2808606