Wa kwako bado yupo?
Inategemea aliitamkaje hiyo dessert. Pengine makosa yalikuwa yake 😁😁😁
Amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Sote tukiwa miongoni mwao wengi tulio potea kwa namna tofauti katika makundi yetu kwa mfano wa huyu kondoo, ombi langu tujaliwe kukutana na huyo alienwaacha wengi wenye thamani na kushika njia ya kututafuta sisi tusio na thamani.
Asubuhi njema.View attachment 2808338View attachment 2808339
Mideko usinambie na ujanja wako wote huu nawe ni Makolo. Nitahama JF mazima wallahi 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️