Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Ukija kushtuka wameshakugeuza Mangungo 😬
Ametuheshimisha heko kwa wanyaki na taifa zima kwa ujumla,hakika ameandika historia nzuri kwa taifa letu.
Na wewe ni Mnyaki?Ametuheshimisha heko kwa wanyaki na taifa zima kwa ujumla,hakika ameandika historia nzuri kwa taifa letu.
Umeongea ukweli mtupuKunjunjwa dawa.
Tatizo ni kwamba mbona wao uchawi wao wa maendeleo na wetu ni wakuleteana mabaya tuu
Mimi sio 😀😀😀.Na wewe ni Mnyaki?
Kama ni hivyo basi kila binti humu ni Mnyaki. Wanyaki aisee mpewe maua yenu 👏👏👏
Mwambie kabisa wewe ni kaskazini empire [emoji3]Mimi sio [emoji3][emoji3][emoji3].