Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20231025_190718_Instagram Lite.jpg
 
sams erin na amazon survey wamekusanya pointi 100 mpaka sasa kwa kufanya kazi online za amazon. Wahi haraka nafasi ni chache sana. Kuweni makini na matapeli
 
Umejibu vyema sana. Busara tupu yaani! 👏👏👏

Hili ni swali la kipuuzi ambalo huulizwa na wapuuzi na kujibiwa kiuhalisia na wapuuzi wenzao maana halina faida yo yote whatsoever; na linaweza kuwa na madhara kama mwanaume hana kifua na awe amependa sawasawa. Binafsi lilishawahi kuniletea matatizo. Kuna siku nitalianzishia uzi. Nitakutag...😁
Na mm pia naomba kutagiwa😀😀😀.
 
Back
Top Bottom