Nini kinaendelea hapa? 😳
This guy is pyua trash 🚮🚮🚮
Hivi kama ndiyo mwanao unafanyeje kwenye hii situesheni. Ndo huyoo karudi home namna hiyo. Unafanyeje? 😳
Naaanua tanga[emoji24][emoji24][emoji24]Hivi kama ndiyo mwanao unafanyeje kwenye hii situesheni. Ndo huyoo karudi home namna hiyo. Unafanyeje? [emoji15]
Wazungu hao. Wabunifu. Wagunduzi!
Mbombo ngafu 😁
Ugonjwa wangu 😄
Fokasi ilikuwa ni nywele nadhani. Manido likely ni coincidence tu 😁Ugonjwa wangu 😄
Umejuaje manido hayo
I swear to God, macho yameangukia hapo wala sijaona nywele ndio nimerudi kuangalia