Nimegundua moja hiyo unafanya mara moja tu mpaka unakufa. Hata uwe 90 unapiga mzigo kama kawaida. Nimeambiwa ndiyo siri iliyowafanya mababu zetu wakaendelea kupelekea moto mpaka walipofikisha miaka hata late 80s huko. Nataka kutesti zali soon. Nitaleta mrejesho