Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji173][emoji173][emoji173]
IMG-20231021-WA0036.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni kweli hii inafanya kazi kwa ufanisi?View attachment 2788282
Nimegundua moja hiyo unafanya mara moja tu mpaka unakufa. Hata uwe 90 unapiga mzigo kama kawaida. Nimeambiwa ndiyo siri iliyowafanya mababu zetu wakaendelea kupelekea moto mpaka walipofikisha miaka hata late 80s huko. Nataka kutesti zali soon. Nitaleta mrejesho 😁
 
Back
Top Bottom