Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,861
- 147,218
Ukimaliza nijulishe[emoji16][emoji16]
Ukimaliza nijulishe[emoji16][emoji16]
Mshanajr una zingua aseeee!!!!!
Mimi ama huyo motivesheno spikaM
Mshanajr una zingua aseeee!!!!!
Wewe na huyo....imempata wapi huyo????🤣🤣🤣🤣🤣
Looooooh[emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzetu wana unafuu sana, bora kuwa maskini USA kuliko bongo!Serikali hutoa stipend kidogo kwa watu masikini kila mwezi. Na si ajabu kukuta mtu ni homeless lakini anafanya kazi hizi za kima cha chini huko McDonald's na KFC. Mshahara anaopata unakuwa haumuwezeshi kupanga hata chumba kimoja maana katika miji mingi rent ziko juu sana.