Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wamarekani unakuta mtu anasema alikuwa homeless ana maisha magumu lakini alikuwa ana gari ambalo ndio yalikuwa kama makazi yake. Ni vipi waliweza kumudu running na servicing costs au humaanisha yale magari mabovu juu ya mawe?!
Serikali hutoa stipend kidogo kwa watu masikini kila mwezi. Na si ajabu kukuta mtu ni homeless lakini anafanya kazi hizi za kima cha chini huko McDonald's na KFC. Mshahara anaopata unakuwa haumuwezeshi kupanga hata chumba kimoja maana katika miji mingi rent ziko juu sana.
 
IMG-20231020-WA0021.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom