[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jana ulitaka kukopa....leo una hela ya kulipa mshahara
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Angalau wenzio wamependwa ata mara moja wewe ni bure kabisa pamoja na kubarikiwa tako skonsi
Nakuchagulia namba moja.
Wacha leo nikanunue mkate, nimehamu peanut butter and jelly sandwich [emoji3053][emoji39].
Shida sio vodacom, shida ni wateja wao, unajua zile msg za ovyo wanazisomaga! Na ndivyo wanavyowachukulia wateja hivyo hivyo. Utakuwa umenielewa mjingamimiHivi Vodacom mnatuchukuliaje?
Kwani inaenda kwa oda?
Waiting[emoji39][emoji39][emoji39]Aahahahahhaaaa sandiwichi ikiiva ntakuwekea hapa...[emoji39][emoji39][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha ikitengenezwa haipaswi kulalaKwani inaenda kwa oda?
Basi mie naweka oda yangu. Mfunge mawardat asiolewe na mwanaume yoyote bali mie mzabzab