Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ya...
ae93a3aa3c75cff2a327d707c85711c0.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza ukorofi jamaa angu...watakupatia sasa iv we ngoja uone
Siyo fan boy. Niko objective sana katika hili!

Mwakasege anaijua Biblia na anajua kuifundisha na kuifafanua. Ni wito wake huo. Na semina zake hizi anazozunguka nchi nzima zina lengo hilo. Ndiyo maana mara nyingi anakuwa na wito sana wa watu kuokoka na kumpokea Yesu. Na kwa hapa Tanzania kwa sasa sidhani kama kuna mwalimu wa Biblia aliyeiva kumzidi. Wengi wengine huku wamegeuka na kuwa social commentators/motivational speakes (mf. Mugogo, Hananja, Kapola....) au wanamazingaombwe kwa lengo la kupumbaza watu ili kuwaibia. Huko huwezi kusikia habari za wokovu na kumpokea Yesu Kristo kwa kuacha dhambi bali siri ya mafanikio ni kupanda mbegu kwa kutoa sadaka na zaka ili Mungu Afungue milango haijalishi unaishi maisha machafu kiasi gani.

Najua wewe ni Atheist na ni rahisi kwako kuponda kila kitu. Yes Ukristo umevurugwa sana na hii prosperity gospel na hawa wanamazingaombwe lakini bado kuna watumishi wanaohubiri na kufundisha injili katika misingi ya Biblia japo ni wachache.

View attachment 2781916
 
Back
Top Bottom