Wanauweka kwa tumbo[emoji23][emoji23]Siku hizi unaufanyia nini?
Kwamba unapalilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjukuu niwache!
Pulizi niwache!
Na Mama E siyo kimbaumbau bali pia siyo mnene [emoji116]; na najua kuwa huko mbele ya safari atakuja kuyutongika tu. Nina akili sana mjukuu usinione hivi. Najua ninachokifanya! [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2777387
Nina dk zile babu[emoji23][emoji23]Leo umechachuka sana mjukuu.
Ngoja nikupigie ili nijue kinachoendelea. Napiga sasa hivi [emoji16][emoji16][emoji16]