Zaman kidogo miaka ya 2017 kuludi nyuma uwanja wa ndege ulikuwa upo usawaa wa njia panda ya Area D hapo eneo lote lilikuwa makazi ya watu japo ilikuwa uswahilini sanaaKumepooza sana aisee hii mitaa. Airport naona fence ipo mpaka hapa kona ya barabara ya Amaus kwenda kwenye hiki kihoteli.
Hakuna hata moja yenye uhakika hapo.
Wewe uliyeniuzia hii simu, nataka tu kukuambia Milima haikutani..View attachment 2775320
Sent using Jamii Forums mobile app







