Itakuwa wanaiita Yanga iliyofungwa na Ihefu, maana wamekuwa kama X wao kila siku ni kupasha kiporo tu 😅🏃🏃🏃Grahams njoo uone jamaa zako. Singida wanaiita eti Yanga ya mkoani 😁😁😁
➡️ Azam anacheza na nani? Naona kama sijaelewa vizuri...
View attachment 2775521