myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Wamng'oe tu..Mgeni ang'atwa na Mbwa Ikulu ya Marekani View attachment 2774739
Wamng'oe tu..Mgeni ang'atwa na Mbwa Ikulu ya Marekani View attachment 2774739
SawasawaBongoman huyu ninayemjua!!
Bongoman bhana alivuna pesa si mchezo.
Aliingia Nairobi, mapokezi yake tu watu wameuana.
Hapa Tanzania show yake moja Kilimanjaro Hotel ilikugharimu laki 1.
Na hiyo ni mwaka 1991.
Mzee Mwinyi alikuwa na kikao na watoa huduma za afya (nadhani manesi) alivunja kikao ili kwanza akamuone Bongoman.
Kama amefirisika itakuwa amekosea mahali
Sahihi kabisa
AiseeRaia wa Ufaransa wanaokwenda Algeria ni lazima kukaguliwa kama hawana kunguni 😁😁😁👏🏼👏🏼👏🏼
View attachment 2774418