Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

b6c4da20044b102454ba5ce918ca7359.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamuziki Nguli wa zamani Denis Kasia a.k.a Lokasa ya Mbongo, mpiga gitaa la maarufu nchini DRC Congo leo imetimia ni miezi mitano tangu amefariki Dunia na Mpaka Leo bado hajazikwa.View attachment 2769086

Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu hii inawahusu wanamuziki wote wa Congo, mashabiki wa muziki wa nchi hiyo na serikali yao ya Congo.
Lokassa ametumia kipaji chake kutangaza nchi yake, maiti yake imetelekezwa mortuary hakuna anayeshtuka na mambo mengi yanaendelea. Aibu, Aibu aibu.
Sidhani kama Tanzania tunaweza kufikia hatua hiyo
FB_IMG_1695474712819.jpg
 
Back
Top Bottom